Skip to main content

MABATI YAMPELEKA JELA WAZIRI WA UGANDA

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Agnes Nandutu amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa wizi maelfu ya vifaa vya kuezekea, kashfa iliyotikisa Nchini humo.

Tukio la wizi huo, lilitokea mwaka 2022, ambapo Maafisa kadhaa Wakuu wa Serikali, waliiba mabati 14,500 ambayo yalikusudiwa kutumika katika ujenzi wa nyumba za jamii zilizo hatarini katika eneo la Karamoja, lililopo kaskazini mashariki Mashariki mwa Taifa hilo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.