Skip to main content

MABADILIKO CCM: MWANRI, CHACHA WAPOKEA 'VIJITI'

Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara akichukua nafasi ya John Mongella.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Aggrey Mwanri.

NEC pia imemteua Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha kuwa Katibu wa Oganaizesheni wa chama hicho akichukua nafasi ya lssa Haji Gavu.

Uteuzi huo umefanyika leo Julai 29, 2026 katika kikao kilichofanyika Zanzibar chini ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Katibu wa Oganaizeshen wa CCM, Paul Chacha.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.