Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Akbar Velayati, amesema vita dhidi ya Marekani-Israel vitaisha kwa masharti ya Iran na si vunginevyo, huku Taifa hilo likiendelea kuudhibiti Mlango wa Bahari muhimu wa Hormuz.
Velayati amesema, Mlango-Bahari wa Hormuz uko wazi kwa dunia, lakini utafungwa kwa maadui wa Wairan na kambi zao katika eneo hilo.

Kauli ya Kiongozi huyo inakuja saa chache baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kugusia mwenendo wa vita hivyo,.
Alisema, Iran imebaki na silaha chache na uwezo wake wa kurusha makombora na ndege zisizo na rubani umepungua.
Discussion
Reader comments
0 contributions