Skip to main content

KUICHUKIA SERIKALI NI CHUKIZO KWA MUNGU - PROPHET IPM

Mchungaji wa Kanisa la Embassy of God for All Nation, Isaac Paul Hammoud maarufu (IPM), amewataka waumini wa kanisa hilo na Watanzania kwa ujumla kuyapenda majeshi ya nchi na Serikali, kwa kuwa chuki dhidi ya mamlaka hizo ni kinyume na amri ya Mungu.

Ameijenga hoja yake hiyo, akirejea kitabu cha Kumbukumbu la Tirati 8:10 inayosema, "utakula ushibe, utamshukuru bwana Mungu wako kwa nchi nzuri aliyokupa."

"Hata kama kuna kitu wanakosea ni binadamu sio miungu wale." Prophet IPM.

Amesema ni bahati mbaya baadhi ya watu nchini kwa sasa, wanaona upendo kwa nchi na majeshi ni makosa, ilhali hakuna vyombo vingine vinavyoilinda nchi na wananchi zaidi ya hivyo.

"Hata kama kuna kitu wanakosea ni binadamu sio miungu wale. Tukubaliane kuna vitu vya kukubaliana tu. Lakini ni chuki, chuki, chuki, ukiiondoa Serikali kuna nchi tena hapo?," amesema.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.