Skip to main content

KUHUSU YUDA: NYIE NI WATU WAZIMA NAAMINI MMENIELEWA - SIMAI

Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Said, amewataka Watanzania kuelekeza mjadala kwenye utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027, akisisitiza kuwa hicho ndicho kipaumbele kitakachochochea maendeleo na kuunga mkono juhudi za Rais Samia katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ndani ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Simai alisema mjadala wa sasa unapaswa kujikita katika utekelezaji wa bajeti ili kuhakikisha malengo ya Serikali yanafikiwa kwa manufaa ya Watanzania.

Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Said.

Alipoulizwa kuhusu Yuda ni nani, Simai alijibu kwa kifupi, "Nyie ni watu wazima, naamini mmenielewa," kabla ya kusisitiza kuwa kwa sasa hakuna jambo muhimu zaidi kuliko kuhakikisha Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026/2027 inatekelezwa kwa ufanisi kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.