Skip to main content

KIGOMA: WANAFUNZI NYAMPEMBA 'WAUMWA SIKIO' KINGA YA MARAFIKI WABAYA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyampemba Wilaya ya Kigoma Mkoa wa Kigoma wamepatiwa elimu ya namna ya kujikinga na marafiki wenye tabia mbaya na kuepuka kuingia kwenye makundi ya uhalifu.

KIGOMA: WANAFUNZI NYAMPEMBA 'WAUMWA SIKIO' KINGA YA MARAFIKI WABAYA
Studio Narration JAMBO FM

KIGOMA: WANAFUNZI NYAMPEMBA 'WAUMWA SIKIO' KINGA YA MARAFIKI...

0:00 --:--

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyampemba Wilaya ya Kigoma Mkoa wa Kigoma wamepatiwa elimu ya namna ya kujikinga na marafiki wenye tabia mbaya na kuepuka kuingia kwenye makundi ya uhalifu.

Elimu hiyo imetolewa Oktoba 6 2026 na Mkaguzi wa Polisi (INSP) Felister Kanywaga ambapo amewataka wanafunzi kuwa makini na kuchagua marafiki wema.

INSP Felister amewataka Wanafunzi hao kuepuka tamaa ya pesa za haraka, utoro wa shule na wasikubali kushawishiwa na marafiki wenye tabia mbaya.

Aidha amewasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii, kuheshimu walimu na wazazi na kutoa taarifa za uhalifu kwa walimu au kwa Wazazi.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.