Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umemfuta kazi Kocha Mku, Pedro Gonçalves.
Taarifa ya Yanga iliyotolewa hii leo Mei 6, 2027 imesema Uongozi unamshukuru Kocha Pedro kwa mchango wake alioutoa ndani ya klabu na unamtakia kila la kheri.

Aidha, kwasasa Yanga itakuwa chini ya Kocha Abdihamid Moalin pamoja na Kocha Patrick Mabedi hadi mwisho wa msimu.

Discussion
Reader comments
0 contributions