Skip to main content

KIARATU AKAGUA MAENDELEO UJENZI OFISI YA CCM SINGIDA

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Yagi Kiaratu, amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Mandewa, ambapo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Singida Mjini.

KIARATU AKAGUA MAENDELEO UJENZI OFISI YA CCM SINGIDA
Studio Narration JAMBO FM

KIARATU AKAGUA MAENDELEO UJENZI OFISI YA CCM SINGIDA

0:00 --:--

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Yagi Kiaratu, amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Mandewa, ambapo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Singida Mjini.

Katika ziara hiyo, Yagi Kiaratu akiwa pamoja na Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Singida Mjini chini ya Mwenyekiti Lucia Mwiru na Katibu Neema Lunga, amefuatilia hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo.

Ukaguzi huo umelenga kuhakikisha ujenzi wa ofisi hiyo unaendelea kwa mujibu wa malengo yaliyowekwa, huku viongozi hao wakisisitiza umuhimu wa kufuatilia maendeleo ya miradi na kuhakikisha inakamilika kwa wakati.Kutoka kushoto Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Yagi Kiaratu akiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Singida Mjini Neema Lunga katikati, paoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Singida Mjini Lucia Mwiru .

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.