Skip to main content

KESI ZA UBAKAJI: HURUMA SIO MALEZI, FAMILIA TUSIINGILIE - MAHUNDI

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Maryprisca Mahundi amezitaka Familia kutoingilia kesi za ubakaji na kutaka kuyamaliza kifamilia.

KESI ZA UBAKAJI: HURUMA SIO MALEZI, FAMILIA TUSIINGILIE - MAHUNDI
Studio Narration JAMBO FM

KESI ZA UBAKAJI: HURUMA SIO MALEZI, FAMILIA TUSIINGILIE - MA...

0:00 --:--

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Maryprisca Mahundi amezitaka Familia kutoingilia kesi za ubakaji na kutaka kuyamaliza kifamilia.

Mahundi ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma hii leo Oktoba 27, 2026 na kuongeza kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakitaka kuyamaliza masuala hayo kifamilia, hali inayosababisha kupotea kwa haki ya mbakwaji ama aliyelawitiwa.

"Huruma si malezi, tusioneane huruma. Sisi kesi za aina tunazishughulikia ndani ya miezi sita zinakuwa zimeshapatiwa hukumu, ili kulinda haki ya aliyebakwa," amesema Mahundi.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.