Skip to main content

KESI YA UHAINI: HUKUMU YA LISSU NOVEMBA 6

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inqtqrqjiwa kutolewa hukumu na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Novemba 6, 2026.

KESI YA UHAINI: HUKUMU YA LISSU NOVEMBA 6
Studio Narration JAMBO FM

KESI YA UHAINI: HUKUMU YA LISSU NOVEMBA 6

0:00 --:--

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inqtqrqjiwa kutolewa hukumu na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Novemba 6, 2026.

Hukumu hiyo itatolewa kufuatia leo, Septemba 29, 2026, kufuatia kukamilika kwa mawasilisho ya mwisho ya Upande wa Utetezi na Upande wa Jamhuri mbele ya jopo la Majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru.

Upande wa Jamhuri, ukiongozwa na Wakili wa Serikali Nassoro Katuga, uliwasilisha hoja za mwisho baada ya Lissu ambaye anajiwakilisha mwenyewe, kukamilisha mawasilisho yake, Septemba 28, 2026.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.