Skip to main content

JWTZ: HATUTAWALINDA WATAKAOFANYA VURUGU

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema halitawalinda watakaoshiriki katika matukio ya uvunjifu wa amani na vurugu.

JWTZ: HATUTAWALINDA WATAKAOFANYA  VURUGU

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema halitawalinda watakaoshiriki katika matukio ya uvunjifu wa amani na vurugu.

Aidha, limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha kushiriki katika vurugu za aina yeyote, huku likiwasisitiza kutoshiriki katika vurugu na uvunjifu wa amani.

Luteni Kanali Sylvester Mangure.

Taarifa ya jeshi hilo, imetolewa leo Julai 4, 2026 na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ, Luteni Kanali Sylvester Mangure.

“Watu hao wanafanya uhamasishaji na upotoshaji huo kwa kulichafua jeshi kwamba litahusika kuwalinda wafanya vurugu na ghasia hizo, jambo ambalo si kweli,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.