Skip to main content

HOMA MATOKEO YA UCHAGUZI ISRAEL YAPANDA, HESABU NI VUTA NIKUVUTE

Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Israel yanasubiriwa kwa hamu, ikiwa ni siku moja baada ya Waisraeli kufanya maamuzi ya kuchagua wabunge 120 wa Knesset hapo Oktoba 27, 2026.

HOMA MATOKEO YA UCHAGUZI ISRAEL YAPANDA, HESABU NI VUTA NIKUVUTE
Studio Narration JAMBO FM

HOMA MATOKEO YA UCHAGUZI ISRAEL YAPANDA, HESABU NI VUTA NIKU...

0:00 --:--

Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Israel yanasubiriwa kwa hamu, ikiwa ni siku moja baada ya Waisraeli kufanya maamuzi ya kuchagua wabunge 120 wa Knesset hapo Oktoba 27, 2026.

Uchaguzi huo, umehusisha unawahusisha wagombea wawili ambao ni Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anayechuana na Kiongozi wa upinzani, Gadi Eisenkot.

Tayari asilimia 32.5 ya masanduku ya kura yamehesabiwa hadi kufikia asbhi ya leo na matokeo ya awali yalionesha kambi ya Netanyahu ikiwa na viti 59, ikifuatiwa na upinzani wenye viti 46.

Inaaridiwa kuwa, hakuna mshindi rasmi kwani chama au muungano unahitaji viti 61, ili kupata kibali cha kuunda serikali mpya.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.