Skip to main content

HALI NI MBAYA VIJANA WAMELEGEA, TUWALINDE KWA MUSTAKABALI WAO - KAMPALA

Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Kampala ameitaka Serikali kuweka nguvu za ziada katika kuwalinda Vijana dhidi ya vitendo vinavyohatarisha maadili, usalama na mustakabali wao.

HALI NI MBAYA VIJANA WAMELEGEA, TUWALINDE KWA MUSTAKABALI WAO - KAMPALA
Studio Narration JAMBO FM

HALI NI MBAYA VIJANA WAMELEGEA, TUWALINDE KWA MUSTAKABALI WA...

0:00 --:--

Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Kampala ameitaka Serikali kuweka nguvu za ziada katika kuwalinda Vijana dhidi ya vitendo vinavyohatarisha maadili, usalama na mustakabali wao.

Kampala ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma hii leo Oktoba 30, 2026 akisema, Taifa linaweza kukabiliwa na changamoto katika miaka ijayo ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.

Amesema, Taifa linapitia mkanganyiko mkubwa katika kushughulikia changamoto zinazowakabili Vijana.

Aidha amesisitiza kuwa Nchi yoyote inayotaka kupiga hatua za maendeleo ni lazima iwekeze katika nguvu kazi ya Vijana wake, hivyo suala hilo halina budi kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.