Mabingwa wa Soka Nchini, Yanga SC wamepangwa Kundi B wakiwa na Zamalek SC (Misri), MC Alger (Algeria) na Club African (Tunisia) katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Nao wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano hiyo, Simba SC wamepangiwa kundi C wakiwa na RS Berkane ya Morocco, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Colombe Sportive ya Cameroon.

Aidha, mechi za kwanza hatua ya makundi zinatarajia kuanza Novemba 27-29, 2026.
KUNDI A:
Esperance
Petro Atletico
FC Naouadhibou
Williete
KUNDI B:
Zamalek
Yanga SC
MC Alger
Club Africain
KUNDI C:
RS Berkane
Simba SC
Orlando Pirates
Colombe Sportive
KUNDI D:
FC Pyramids
Al Hilal
Horoya AC
Mas Des fes

Discussion
Reader comments
0 contributions