Skip to main content

DTK SAMIA AANZA RASMI KUPUNGUZA MSAFARA WAKE

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi utekelezaji wa vitendo wa mpango wa kupunguza magari katika msafara wake kwa kuhakikisha maofisa wanaofuatana naye wanapanda mabasi, badala ya kutumia magari yao, ili kupunguza matumizi ya mafuta.

Mkuu huyo wa nchi, alitangaza mpango huo alipokuwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2026, ikiwa ni sehemu ya hatua za Serikali na ofisi yake kupunguza matumizi ya mafuta, baada ya vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati.

Utekelezaji wa mpango huo, umeshuhudiwa leo, Ijumaa, Aprili 10, 2026 katika msafara wa Dkt Samia uliokuwa na magari machache na basi lililowapakia maofisa waliofuatana naye katika msafara huo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.