Skip to main content

DEMOCRAT YAWEKA HISTORIA UCHAGUZI WA MAREKANI, YASHIKA UDHIBITI WA BUNGE

Chama cha Democrat, kimeweka historia katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, uliofanyika Nov 3-4, 2026 kwa kutwaa udhibiti wa Seneti na Baraza la Wawakilishi.

DEMOCRAT YAWEKA HISTORIA UCHAGUZI WA MAREKANI, YASHIKA UDHIBITI WA BUNGE
Studio Narration JAMBO FM

DEMOCRAT YAWEKA HISTORIA UCHAGUZI WA MAREKANI, YASHIKA UDHIB...

0:00 --:--

Chama cha Democrat, kimeweka historia katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, uliofanyika Nov 3-4, 2026 kwa kutwaa udhibiti wa Seneti na Baraza la Wawakilishi.

MATOKEO RASMI MPAKA SASA

1. SENETI: 54 - 44.

Wademocrat 54, Warepublican 44. Viti 2 tu bado. Hii ni tofauti kubwa na 53-47 iliyokuwa ya Warepublican kabla.

Waliyoyapindua:

- Kansas - mara ya kwanza kwa Wademocrat tangu 1932

- Texas - James Talarico

- Iowa - Josh Turek

- Maine - Troy Jackson amemuangusha Susan Collins

- South Carolina, Ohio, North Carolina

Michigan - Abdul El-Sayed amekuwa Muislamu wa kwanza kuchaguliwa Seneta Marekani.

2. HOUSE: 228 - 139.

Wademocrat wamevuka 218 zinazohitajika. Wameshinda 228, Warepublican 139. Viti 68 bado kuhesabiwa.

Kura zote: Wademocrat milioni 58.9 vs Republican milioni 46.7

3. MAGAVANA: 27 - 20.

Wademocrat wamepindua:

- Texas - Gina Hinojosa

- Georgia - Keisha Lance Bottoms

- Ohio na Iowa

Sababu kubwa kulingana na CNN Poll: Wamarekani hawajaridhika na gharama ya maisha na mwelekeo wa nchi, huku Trump akikiri kukubali matokeo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.