Skip to main content

CHANGAMOTO ZA WATEJA: EWURA YAWAPA DARASA MAAFISA UHUSIANO

Na Afarah Suleiman, Babati - Manyara.

CHANGAMOTO ZA WATEJA: EWURA YAWAPA DARASA MAAFISA UHUSIANO

Na Afarah Suleiman, Babati - Manyara.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini, imezitaka Mamlaka za Maji kutatua changamoto za wananchi ikiwemo ankara zisizoendana na matumizi kwa kuwafungia mita za kielektroniki ambazo zitakua mwarobaini wa changamoto ya wananchi wanaodai kubambikiziwa bili za maji.

Akizungumza na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka hiyo, Meneja wa EWURA Kanda ya Kaskazini, George Mhina amewataka kutatua changamoto za ankara pamoja na kuchelewa kuwaunganishia huduma wateja.

klKwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tanga, Devotha Mayala pamoja na Afisa Uhusiano TANESCO Mkoa wa Manyara, Samweli Mandari wamema mafunzo hayo yatakwenda kusaidia kutatua changamoto za Wananchi.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.