Kikqo cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichoketi chini ya Mwenyekiti wake, Dkt. Samia Suluhu Hassan kimemfukuza uanachana aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Roze Migiro amesema, Kamati Kuu imejadili kuhusu suala la nidhamu na maadili, ambalo lilikuwa linamkabili Emmanuel Nchimbi na baada ya kuzingatia taarifa zote zilizokuwepo ilithibitika kwamba katiba ya CCM na kanuni zake zilikiukwa, na hivyo Nchimbi amefukuzwa uanachama.
Discussion
Reader comments
0 contributions