Skip to main content

BIASHARA TANZANIA, KENYA YAFIKIA TSHs 2.2 TRILIONI 2025

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema biashara ya Tanzania na Kenya mwaka jana ilifikia Dola za Marekani 860 milioni (zaidi ya Sh2.223 trilioni).

BIASHARA TANZANIA, KENYA YAFIKIA TSHs 2.2 TRILIONI 2025
Studio Narration JAMBO FM

BIASHARA TANZANIA, KENYA YAFIKIA TSHs 2.2 TRILIONI 2025

0:00 --:--

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema biashara ya Tanzania na Kenya mwaka jana ilifikia Dola za Marekani 860 milioni (zaidi ya Sh2.223 trilioni).

Ruto ameyasema hayo leo, Jumanne Mei 5, 2026 alipolihutubia Bunge la Tanzania, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini.

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto alipowasili kwa ajili ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu hii leo Mei 5, 2026 Jijini Dodoma.

Amesema mataifa hayo yanategemeana ndiyo maana biashara yao mwaka 2025 ilifika Dola za Marekani milioni 860, (zaidi ya Sh2.223 trilioni.

Ameeleza mwaka huu matarajio ni biashara baina ya mataifa hayo, ifikie Dola bilioni 1 (zaidi ya Sh2.6 trilioni).

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.