kKabu ya soka ya Mbeya City, imemfuta kazi Kocha wake Mecky Maxime na Wasaidizi wake, Kocha Msaidizi Nizar Khalfan na Kocha wa utimamu wa mwili, Francis Mkanula kwa makubaliano ya pande zote.
Maxime na wasaidizi wake walifutwa kazi saa machache baada ya Mbeya City kutandikwa bao 6-0 na Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Yanga SC katika mtanange uliofanyika dimba la KMC Complex.

Discussion
Reader comments
0 contributions