Skip to main content

ALIYEUWA KWA KUMCHINJA MKEWE ANYWA SUMU, AUGUZWA CHINI YA ULINZI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Amos Zakaria (64), Mkazi wa Kijiji cha Nyameni Kata ya Ulaya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, kwa tuhuma za kumchinja na kumuuwa mkewe Janeth Mazengo (52), kwasababu za wivu wa mapenzi.

ACP. Andrew Kantimbo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro ACP. Andrew Kantimbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi huku akipatiwa matibabu katika kituo cha Afya Ulaya, baada ya kunywa sumu kufuatia mauaji hayo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.