Skip to main content

AHIRISHO: LISSU KURUDI MAHAKAMANI JUNI 2

Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeiharisha shauri Na. 12194/2026 la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026.

AHIRISHO: LISSU KURUDI MAHAKAMANI JUNI 2
Studio Narration JAMBO FM

AHIRISHO: LISSU KURUDI MAHAKAMANI JUNI 2

0:00 --:--

Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeiharisha shauri Na. 12194/2026 la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu hadi Juni 2, 2026.

Shauri hilo lilitajwa hii leo Mei 15, 2026 mbele ya Jaji David Ngunyale ambapo Mahakama imeutaka upande wa wajibu maombi kuwasilisha viapo vyao kinzani, ndani ya siku saba.

Wajibu maombi ni Said Issa Mohammed, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Maulida Anna Komu (marehemu) na Ahmed Rashid Khamis wajumbe wa bodi ya wadhamini, Katibu Mkuu wa CHADEMA, na wajumbe wa bodi ya wadhamini.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.