Skip to main content

ADO AHOJI SUALA LA KATIBA MPYA, SERIKALI YAMJIBU

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amessma Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inalipa uzito suala la Katiba.

ADO AHOJI SUALA LA KATIBA MPYA,  SERIKALI YAMJIBU

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amessma Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inalipa uzito suala la Katiba.

Mwigulu ameyasema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, kuhusu mchakato wa Katiba, katika wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.

"Maandalizi yanaendelea kwa kufuata mwongozo uliotolewa na taratibu za kisheria, na hatua hizo zitakapokamilika, Bunge na Watanzania watajulishwa," amesema Waziri Mkuu.

𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚

𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢

Amesema

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.