Skip to main content

98 WAKIWEMO WEZI WA NGUO ZA NDANI, WALAWITI WADAKWA DODOMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, limewakamata jumla ya watuhumiwa 98 wa makosa mbalimbali, katika kipindi cha Septemba 7 - Oktoba 7, 2026, wakiwemo watuhumiwa wa ulawiti, wizi na makosa yanayohusishwa na dawa za kulevya.

98 WAKIWEMO WEZI WA NGUO ZA NDANI, WALAWITI WADAKWA DODOMA
Studio Narration JAMBO FM

98 WAKIWEMO WEZI WA NGUO ZA NDANI, WALAWITI WADAKWA DODOMA

0:00 --:--

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, limewakamata jumla ya watuhumiwa 98 wa makosa mbalimbali, katika kipindi cha Septemba 7 - Oktoba 7, 2026, wakiwemo watuhumiwa wa ulawiti, wizi na makosa yanayohusishwa na dawa za kulevya.

Katika operesheni hiyo, Polisi pia ilofanikuwa kukamata mali mbalimbali zinazodaiwa kuwa za wizi, ikiwemo pikipiki, televisheni, mitungi ya gesi pamoja na nguo za ndani.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.