Aliyekuwa mke wa mchezaji wa zamani wa Brazil, Ricardo Kaka, Bi. Caroline Lyra Celico amedai aliomba talaka kwa mume wake kwasababu mumewe hakuwa msaliti kwenye ndoa yani alikuwa mtu mwema sana na hakuwahi hata mara moja kumsaliti.
Mbali na hipo Bi. Caroline amebainisha kuwa mumewe alikuwa anamtunza vyema ila kwa bahati mbaya alikosa furaha kwenye ndoa.