Ndoa ya Haji Manara yafika miezi mitatu!!


Vipi hali ya mahusiano yako kwa sasa.?


Sasa wale waliodhani kuwa Haji Manara ndoa yao haifiki miezi mitatu mko wapi?
Haji na Zaylisa wanafikisha miezi mitatu ya ndoa yao ambayo ilifungwa Janurai 24,2024, na mahusiano yao yalianza kimzaha mzaha tu!! Wakati huo Haji alikuwa ameachana na Mkewe na Zay alikuwa ameachana na Dullah Makabila.


“NIMEJIFUNZA 🙏
Ndoa yenye furaha ni ile ambayo kila siku mnajiona ndio mmeanzana jana,Kiufupi hamuishi kimazoea,mnajiona wapya everyday,hamchoki kurekodiana na kutaniana kwa heshma, kulishana na kukiss ni kama ndio mmejuana leo au Jana !! Mara nyingi mnakuwa Kama kumbikumbi,mpo wote kila sehemu!!
Ishini kama Marafiki pia,,ongeeni sana mambo yenu,zungumzeni kuhusu maisha na ikibidi wateteni sana hatters wenu 🥸😛
Make Sure kila wakati unafanya jambo zuri la kumfurahisha mwenzi wako,,mpe nyota zake kipenzi chako,Msifu mara nyingi na kwa sisi wamitandaoni mpost hadi Magugu Maji yaone wivu😜
Nipewe nini Bugaaa ? Nikienda kazini tu Zai keshashika İPhone yake kunirekodi,nikiwa nakula tu Simu ipo kiganjani mwake,nikicheza tu na Watoto 15 Pro Max inarekodi,Nyie Nyie Nyieee hadi raha.
Najiona nna miaka ishirini now ilhali nakaribia miaka Tisini na tano 😜”
Nb : Ukinuna meza Njugumawe Mbichi 😛😛🤪

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *