Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ndio mwanaume mwenye mvuto zaidi

Jarida la People kutoka Marekani, limemtaja Patrick Dempsey, kuwa ndio mwanaume mzuri /mwenye mvuto zaidi kwa mwaka huu 2023.

Patrick Dempsey, ni muigizaji na muendesha magari ya kasi. Amezaliwa Januari 13, 1966, anachukua nafasi ya staa wa Marvel, Chris Evans.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *