Mtandao wa Africa Fact Zone, umetaja nchi tano Barani Afrika zinazoongoza kwa Rushwa. Taarifa/Jarida la nchi hizi 10 zimetakwa na 2022 Corruption Perceptions Index.
Hizi ni Baadhi yao:-
1. Somalia
2. South Sudan
3. Libya
4. Equatorial Guinea
5. Burundi