Mtoto wa msanii wa muziki kutoka Kenya Nazizihirji #Jazeel amefariki Dunia.
Kwa mujibu wa ujumbe uliowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Nazizi umeeleza kuwa #Jazeel amefariki akiwa nchini Tanzania kwenye moja ya hoteli ambayo familia ilifikia hapo kwaajili ya mapumziko ya Christmas
Tukio hilo limetokea siku ya Desemba 25,2023 siku ya Sikukuu ya Christmas. Na tayari mtoto huyo amezikwa nchini Kenya.