“Napokea vitisho vya kuuliwa” – Tems

Mwanadada Tems kutoka Nigeria amefunguka kupokea vitisho vya kuuliwa kwa njia ya sms baada ya tetesi za kudaiwa kuwa na ujauzito wa rapa Future. 

Katika mahojiano aliyofanya na kituo cha  Beat 999, huko Nigeria, mrembo huyo amefunguka kuwa tangu kuanza kwa tetesi hizo amekuwa akipokea vitisho vya kutishiwa Maisha yake ila chaajabu hana ujauzito wala hajawahi kuonana na Future.

Ikumbukwe Tems ameshirikishwa kwenye ngoma ta Waiting For U ambayo imeshinda Grammy 2023 ambayo Drake pia yupo Ndani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *