Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Nani mkali ifikapo Novemba 24

Ifikapo Novemba 24, 2023 msanii wa muziki Harmonize na Rayvanny wanatarajia kuachia kazi zao. Ambapo Harmonize ataachia albamu yake ya nne ya Visit Bongo, huku Rayvanny akitaraja kuachia ngoma tano, 54U.

Ikumbukwe wawili hao waliwahi kusainiwa WCB Wasafi miaka kadhaa na sasa kila mtu anamiliki lebo yake ambapo Harmonize anamiliki lebo ya Konde Gang, akiwa na msanii wake aitwaye Ibraah.



Rayvanny yeye ana Next Level Music ambapo amemsaini Mac Voice pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *