
Siku ya jana Agosti 6, Alikiba alikuwa akitoa burudani kwenye Simba Day!! Na moja ya stori ni hili vazi alilovaa kwenye shoo hiyo kuonekana kutumika pia na msanii Marioo Mei 2, 2023.

Marioo aliachia picha ya kwanza akiwa kwenye vazi hilo kuelekea kwenye uzinduzi wa The Kid You Know Deluxe Edition, Mei 12.
Swali ni je! Alikiba amemkopi Marioo ? Au Stylist (mwanamitindo) wa vazi hilo ni mmoja na akashindwa kukumbuka.Alikiba na Marioo wanangoma mbili wamefanya pamoja yani Sumu na Love Song.