Nani kafunga mwaka Miso Misondo au We Zombie

Staa wa muziki Rayvanny anasema kuwa mwaka huu kwenye muziki umefungwa na Miso Misondo…umepigaje hapo, na wawili hao wamefanya kazi pamoja iitwayo Kitu Kizito.

Ila shabiki anasema We Zombie Hajui ndio imefunga mwaka na hiyo ni intro tu sio ngoma.

Wewe unakubaliana na nani hapa?!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *