Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Naira Marley avunja ukimya kifo cha Mohbad

CEO wa Marlian Record, Naira Marley amevunjua ukimya kufuatia kifo cha Mohbad ,ambaye alikuwa chini ya lebo yake na kubainisha ameumia sana kifo cha msanii huyo kilichotokea siku ya Jumanne (Septemba 12,2023).Na ni kweli alizinguana na marehemu enzi za uhai wake ila sio kwamba amehusika na kifo chake.

Naira ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram hapo jana, ambapo pia ametoa pole kwa familia ya staa huyo na kuweka wazi kuwa anatamani kuona uchunguzi ilikujua chanzo cha kifo cha msaniii huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *