Staa wa muziki kutoka Nigeria, Naira Marley ameachia wimbo wake uitwao ‘Wahala’ na wimbo huo umezua maneno kwa mashabiki baada ya kuonyesha hisia zake kwa msanii Mohbad ambaye amefariki.

Miezi michache iliyopita, Naira Marley allingia matatani kutokana na kifo cha msanii huyo na kusababisha akae rumande kwa muda kadhaa.


