Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Nai yamkuta ya Tessy Chocolate

Aprili 10, 2023 mwanadada Tessy Chocolate ambae ni Mzazi Mwenza na Aslay aliweka wazi juu ya  tukio la  simu yake aina ya iphone kulipuka wakati akiwa wamelala, ila  hakupata madhara yoyote.

Leo Septemba 13, video queen na mfanyabiashra wa mavazi, Nai ametokewa na tukio la simu yake aina ya Iphone kulipuka akiwa ameiweka kwenye chaji maeneo ya ofisini kwake jijini Dar Es Salaam.

“Jamani mnapoweka simu kwenye chaji muwe nazo makini, msije hatarisha maisha yenu, leo mngesikia mengine, simu ilitaka kunirudisha nyuma hii leo, kuweni makini na hizi simu jamani!!!! Mungu wangu Asanteeee!!!,” ameandika mrembo huyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *