Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Nai anatoza Milioni 50 kwa sasa

Mrembo Nai, ambaye ameonekana kwenye video kadhaa za muziki nchini, kupitia Ask me Question, Instagram ameweka wazi kuwa kwa sasa anatoza kiasi cha Milioni 50 za Kitanzania, ili aonekanae kwenye video ya msanii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *