Muda mfupi baada ya Zuchu u kuandika maelezo ya kuachana na aliyekua Mpenzi wake Diamond Platnumz na kusema kuwa kwa sasa yeye ni mtu ambaye hana mpenzi (Single) Diamond Platnumz amejibu post hio.
Diamond kupitia instagram yake yake ameandika ‘Basi bwana wadau, ndio kama Mlivyosikia Matikiti Yamenidondokea…’
‘Hivyo nahitaji sana Huruma na Ukaribu wenu kipindi hiki cha Ujane wangu, ili walau kupata nguvu na faraja kwenye Kipindi Hiki Kigumu’ – Diamond.
Endelea kutufuatilia kupitia www.jambofm.co.tz
#Jambotanzania #jambofm #kahama #shinyanga #mwanza #simiyu #tanzania255
#muziki #kigoma #Mara #Tabora #Tanzania