Na wewe una moyo kama wa Nay wa Mitego?

Rapa Nay wa Mitego amebainisha kuwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano na mrembo mmoja ila kuna siku alimfumania na mwamume mwingine ila alishinwa kumuacha kwa kuwa mwanamke huyo alipendwa na mama yake.

Vipi na wewe una moyo kama wa Braza Nay hapa?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *