Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mzee Joseph Aloba, adaiwa sio baba mzazi wa Mohbad

Mama yake Mohbad Aloba, Bi Oladimeji amesema funguka kuwa aliyekuwa mume wake, Bw. Joseph Aloba, sio baba mzazi wa mwanamuziki huyo wa zamani wa Marlian.

Kupitia rekodi iliyovuja, mamake Mohbad alisikika akiongea kwa uchungu kitendo cha Bw Joseph Aloba kudai Mohbad ni mwanae.

Mwanamama huyo pia alimlaani mwanablogu anayemuunga na babake Mohbad kwenye kanda hiyo, akiwakosoa wote wawili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *