Mwanamitandao Mwijaku amedai kuwa leo amefanikiwa kumlipa msanii wa muziki Maua Sama kiasi cha Milioni 300 kama ilivyoelezwa kwenye barua kutoka kwa Wakili wa Maua Sama Claudio Msando.

Mwijaku amelipa pesa hiyi ndani ya saa 24 baada ya kutumiwa barua na kampuni ya Mawakili ya Msando Law Office, baada ya Msanii wa muziki Maua Sama kumfungulia kesi kwa kosa la kumuandika vibaya na kumsema mtandaoni.

