Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mwanaume mmojaachora tatto an wapenzi wake 10

Mwanaume mmoja nchini Nigeria, anayetambulika kwa jina la Oluwatosin, ameachia video kwenye mitandao wa Tik Tok akionyesha wapenzi wake 10 wamechora tattoo ya jina lake katika sehemu mbalimbali za mwili.

Unaambiwa Oluwatosin aliwaambia warembo hao kama unanipenda chora jina langu! Baada ya kila mmoja kutekeleza ndipo amewaonyesha Keisha, Shakira, Maria, Fatima, Katie, Kingston, Yaya, Maryam, Mimi na Kiki namna walivyandika jina lake. Na wote yupo nao kwa kipindi kimoja ila hawajuani ila baada ya video hii chochote mwana kinaweza kumkuta.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *