‘Mwanasheria feki’ apata ugeni jela

Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Sonko mapema leo ameenda kumjulia hali ‘Mwanasheria feki’ Brian Mwenda, na kumpelekea matunda jela.

“Nilienda kumtembelea rafiki yangu, hapo jela prison. Siku hizi uko ni ku-tops hakuna kunguni, wala chawa mpaka nimemiss kurudi uko kidogo,” ameandika Sonko

Mwenda alikamatwa siku kadhaa zilizopita kwa kubainika ni feki yani hana taaluma ya sheria licha ya kuwa amewahi kushinda kesi 26 zote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *