Mwanajeshi mmoja nchini Iran amewashambulia kwa risasi na kuwaua wenzake watano katika hospitali inayohudumia wanajeshi na kuanza kufyatua risasi kiholela na kufanikiwa kutoroka.

Hivi karibuni, washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga walijilipua na kuwaua karibu watu 100 katika wilaya ya Kerman.