Mwana FA ampa salute Diamond Platnumz

Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mwanafa amempa salute staa wa muziki Diamond Platnumz kwa shoo aliyofanya kwenye uzinduzi wa Uwanja Wa Mpira wa Amani Visiwani Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *