Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mwakinyo yupo huru kuzichapa

Kamisheni ya kusimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC), imemuondolea adhabu Bondia Hassan Mwakinyo #hassanmwakinyojr na sasa yupo huru.

Mwakinyo alifungiwa mwaka mmoja na faini ya Milioni moja kwa kushindwa kupanda ulingoni kwenye pambano lake la Septemba 29 dhidi ya Bondia kutoka Namibia, Julius Indongo.

Bondia huyo aligoma kuingia ulingoni akidai kuwa waandaaji wa pambano hilo walienda kinyume na makubaliano

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *