Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mume wa Osinachi aomba kesi yake ifutwe

Mahakama kuu ya Federal Capital Territory, huko Abuja- Nigeria imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Peter Nwachukwu, mume wa marehemu mwimbaji wa nyimbo za injili, Osinachi, maarufu kama ‘Ekwueme’ kupinga kesi ya mauaji na unyanyasaji wa nyumbani iliyowasilishwa dhidi yake.

Kufuatia hali hiyo Mahakama imesema kuwa haiwezi fanya hivyo na mtuhumiwa lazima afunguwe utetezi wake tu.

Utakumbuka kuwa Osinachi alifariki Aprili 8, 2022 mumewe anatajwa kuhusika na kifo cha msanii huyo kwa kumfanyia unyanyasaji wa kimwili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *