Muigizaji wa filamu Chance Perdomo afariki dunia

Staa wa filamu kutoka Uingereza Chance Perdomo (27) amefariki Dunia baada ya kupata ajali ya Pikipiki.

Filamu zilizompa umaarufu msanii huyo ni Series ya NETFLIX “The Chilling Adventures of Sabrina”, “GEN V” na “Killed by my Debt”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *