Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Muargentina wa kwanza kucheza Tanzania atemwa Singida

Baada ya Club ya Singida Fountain Gate FC kumuongezea mkataba wa kusalia ndani ya timu hiyo kiungo wake Mbrazil Bruno Gomez Barosso pia timu hio imetangaza kuachana na kiungo wake Kutoka Nchini Afgentina Miguel Escobar Escobar ni mchezaji wa kwanza raia wa Argentina kucheza ligi kuu nchini Tanzania hakupata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi hicho katika michezo mingi ya msimu uliopita.

Miguel mwenye umri wa miaka 27 ameitumikia Club ya Singida Fountain Gate kwa msimu mmoja pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *