Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mtu na mpenzi wake kuminyana Trace

Majina ya wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumzna na Zuchu yametajwa kuwania tuzo ya Trace Eastern nafasi ya Best Eastern African Artist of the Year .

Majina ya wanaowania ni-:
Diamond Platnumz (@diamondplatnumz)
Zuchu (@officialzuchu)
Azawi, Nadia Mukami, Bruce Melodie
na Khaligraph Jones

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *